Native Bible

2 Chronicles 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akazisimamisha hizo nguzo mbele ya Hekalu, moja upande wa kusini na nyingine upande wa kaskazini. Ile moja ya upande wa kusini akaiita Yakini,* na ya upande wa kaskazini akaiita Boazi.*

2 Chronicles 3:17 in English

2 Chronicles 3:17 · Berean Standard Bible

Then he set up the pillars in front of the temple, one on the south and one on the north. The pillar on the south he named Jachin,* and the pillar on the north he named Boaz.*

Context

15Mbele ya Hekalu Solomoni akatengeneza nguzo mbili, ambazo kwa pamoja zilikuwa na dhiraa thelathini na tano kwenda juu kwake, na urefu wa kila moja ilikuwa na taji juu yake yenye dhiraa tano. 16Akatengeneza minyororo iliyosokotwa, na kuiweka juu ya zile nguzo. Pia akatengeneza makomamanga 100, na kuyashikamanisha kwenye minyororo. 17Akazisimamisha hizo nguzo mbele ya Hekalu, moja upande wa kusini na nyingine upande wa kaskazini. Ile moja ya upande wa kusini akaiita Yakini,* na ya upande wa kaskazini akaiita Boazi.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.