Native Bible

2 Chronicles 25:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akarudishwa kwa farasi na akazikwa pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.

2 Chronicles 25:28 in English

2 Chronicles 25:28 · Berean Standard Bible

They carried him back on horses and buried him with his fathers in the City of Judah.*

Context

26Kwa habari ya matukio mengine katika utawala wa Amazia, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na wa Israeli? 27Kuanzia wakati ule Amazia alipogeuka na kuacha kumfuata Bwana walifanya shauri baya dhidi yake huko Yerusalemu naye akakimbilia Lakishi, lakini wakawatuma watu wamfuatilie huko Lakishi nao wakamuulia huko. 28Akarudishwa kwa farasi na akazikwa pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.