Native Bible

2 Chronicles 20:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaungana naye kutengeneza meli nyingi za kwenda Tarshishi,* nazo zilitengenezwa huko Esion-Geberi.

2 Chronicles 20:36 in English

2 Chronicles 20:36 · Berean Standard Bible

They agreed to make ships to go to Tarshish,* and these were built in Ezion-geber.

Context

34Matukio mengine ya utawala wa Yehoshafati, kuanzia mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha kumbukumbu cha Yehu mwana wa Hanani, ambazo zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli. 35Hatimaye Yehoshafati mfalme wa Yuda akafanya urafiki na Ahazia mfalme wa Israeli ambaye alifanya maovu sana. 36Akaungana naye kutengeneza meli nyingi za kwenda Tarshishi,* nazo zilitengenezwa huko Esion-Geberi. 37Ndipo Eliezeri mwana wa Dodavahu wa Maresha akatoa unabii dhidi ya Yehoshafati, akasema, “Kwa kuwa umeungana na Ahazia, Bwana ataangamiza vile mlivyotengeneza.” Zile meli zikavunjika na hazikuweza kungʼoa nanga ili kwenda Tarshishi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.