2 Nyakati 12:4
2 Chronicles 12:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akateka miji ya Yuda yenye ngome akaendelea mpaka Yerusalemu.
2 Chronicles 12:4 in English
2 Chronicles 12:4 · Berean Standard Bible
He captured the fortified cities of Judah and came as far as Jerusalem.
Context
2Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa Bwana, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu. 3Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibia, Wasukii na Wakushi* yaliyokuja pamoja naye kutoka Misri. 4Akateka miji ya Yuda yenye ngome akaendelea mpaka Yerusalemu. 5Ndipo nabii Shemaya akaja kwa Rehoboamu na kwa viongozi wa Yuda waliokuwa wamekusanyika huko Yerusalemu kwa ajili ya hofu ya Shishaki naye akawaambia, “Hivi ndivyo asemavyo Bwana, ‘Ninyi mmeniacha mimi, kwa hiyo, mimi nami sasa ninawaacha ninyi mkononi mwa Shishaki.’ ” 6Viongozi wa Israeli na mfalme wakajinyenyekeza na kusema, “Bwana Mungu ni mwenye haki.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.