2 Nyakati 12:1
2 Chronicles 12:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya nafasi ya Rehoboamu kuimarika na kuwa na nguvu, yeye na Israeli yote waliiacha sheria ya Bwana Mungu.
2 Chronicles 12:1 in English
2 Chronicles 12:1 · Berean Standard Bible
After Rehoboam had established his sovereignty and royal power, he and all Israel * with him forsook the Law of the LORD.
Context
1Baada ya nafasi ya Rehoboamu kuimarika na kuwa na nguvu, yeye na Israeli yote waliiacha sheria ya Bwana Mungu. 2Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa Bwana, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu. 3Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibia, Wasukii na Wakushi* yaliyokuja pamoja naye kutoka Misri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.