Native Bible

2 Chronicles 11:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makuhani na Walawi kutoka sehemu zote za Israeli wakawa upande wake.

2 Chronicles 11:13 in English

2 Chronicles 11:13 · Berean Standard Bible

Moreover, the priests and Levites from all their districts throughout Israel stood with Rehoboam.

Context

11Akaimarisha ulinzi wake na kuweka majemadari ndani yake, pamoja na ghala za mahitaji ya vyakula, mafuta ya zeituni na divai. 12Akaweka ngao na mikuki katika miji na kuifanya iwe imara sana. Kwa hiyo Yuda na Benyamini zikawa zake. 13Makuhani na Walawi kutoka sehemu zote za Israeli wakawa upande wake. 14Pia Walawi wakaacha maeneo yao ya malisho na mali zao, wakaja Yuda na Yerusalemu kwa sababu Yeroboamu na wanawe walikuwa wamewakataa wasiwe makuhani wa Bwana. 15Naye akawa amechagua makuhani wake mwenyewe kwa ajili ya mahali pa juu pa kuabudia sanamu za mbuzi na za ndama ambazo alikuwa ametengeneza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.