Native Bible

1 Timothy 2:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana.

1 Timothy 2:8 in English

1 Timothy 2:8 · Berean Standard Bible

Therefore I want the men everywhere * to pray, lifting up holy hands, without anger or dissension.

Context

6aliyejitoa mwenyewe kuwa fidia kwa ajili ya wanadamu wote: jambo hili lilishuhudiwa kwa wakati wake ufaao. 7Nami kwa kusudi hili nimewekwa niwe mhubiri na mtume (nasema kweli katika Kristo wala sisemi uongo), mwalimu wa watu wa Mataifa katika imani na kweli. 8Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana. 9Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa, 10bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.