1 Wathesalonike 2:1
1 Thessalonians 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ya kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure,
1 Thessalonians 2:1 in English
1 Thessalonians 2:1 · Berean Standard Bible
You yourselves know, brothers, that our visit to you was not in vain.
Context
1Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ya kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure, 2kama vile mjuavyo, tulikuwa tumeteswa na kutukanwa huko Filipi, lakini hata hivyo, kwa msaada wa Mungu wetu, tulikuwa na ujasiri wa kuwaambia Injili ya Mungu ingawa kulikuwa na upinzani mkubwa. 3Kwa maana himizo letu halikutokana na hila wala nia mbaya au udanganyifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.