1 Samweli 31:11
1 Samuel 31:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yale Wafilisti walichomfanyia Sauli,
1 Samuel 31:11 in English
1 Samuel 31:11 · Berean Standard Bible
When the people of Jabesh-gilead heard what the Philistines had done to Saul,
Context
9Wakamkata Sauli kichwa na kumvua silaha zake, nao wakatuma wajumbe katika nchi yote ya Wafilisti kutangaza habari katika hekalu la sanamu zao na miongoni mwa watu wao. 10Wakaweka silaha zake katika hekalu la Maashtorethi, na kukifunga kiwiliwili chake katika ukuta wa Beth-Shani. 11Watu wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yale Wafilisti walichomfanyia Sauli, 12mashujaa wao wote wakaenda usiku hadi Beth-Shani. Wakauchukua mwili wa Sauli na miili ya wanawe kutoka kwenye ukuta wa Beth-Shani na kurudi hadi Yabeshi, mahali ambapo waliiteketeza kwa moto. 13Kisha wakachukua mifupa yao na kuizika chini ya mti wa mkwaju huko Yabeshi, nao wakafunga siku saba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.