Native Bible

1 Samuel 31:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Wafilisti wakapigana na Israeli. Waisraeli wakawakimbia, na wengi wakauawa katika Mlima Gilboa.

1 Samuel 31:1 in English

1 Samuel 31:1 · Berean Standard Bible

Now the Philistines fought against Israel, and the men of Israel fled before them, and many fell slain on Mount Gilboa.

Context

1Basi Wafilisti wakapigana na Israeli. Waisraeli wakawakimbia, na wengi wakauawa katika Mlima Gilboa. 2Wafilisti wakawafuatia kwa bidii Sauli na wanawe, wakawaua Yonathani, Abinadabu na Malki-Shua. 3Mapigano yakawa makali sana kumzunguka Sauli, nao wapiga upinde wakampata na kumjeruhi vibaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.