Native Bible

1 Samuel 14:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Babaye Sauli yaani, Kishi na Neri baba yake Abneri walikuwa wana wa Abieli.

1 Samuel 14:51 in English

1 Samuel 14:51 · Berean Standard Bible

Saul’s father Kish and Abner’s father Ner were sons of Abiel.

Context

49Wana wa Sauli walikuwa Yonathani, Ishvi na Malki-Shua. Jina la binti yake mkubwa lilikuwa Merabu, naye mdogo aliitwa Mikali. 50Jina la mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu binti wa Ahimaasi. Jina la jemadari wa jeshi la Sauli aliitwa Abneri mwana wa Neri, naye Neri alikuwa babaye mdogo Sauli. 51Babaye Sauli yaani, Kishi na Neri baba yake Abneri walikuwa wana wa Abieli. 52Siku zote za utawala wa Sauli zilikuwa za vita vikali dhidi ya Wafilisti, na wakati wowote Sauli alimwona mtu mwenye nguvu au shujaa, alimchukua kwa utumishi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.