1 Samweli 13:9
1 Samuel 13:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi akasema, “Nileteeni hapa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani.” Naye Sauli akatoa sadaka ya kuteketezwa.
1 Samuel 13:9 in English
1 Samuel 13:9 · Berean Standard Bible
So he said, “Bring me the burnt offering and the peace offerings.” And he offered up the burnt offering.
Context
7Hata baadhi ya Waebrania wakavuka Yordani mpaka nchi ya Gadi na Gileadi.
Sauli akabaki huko Gilgali, navyo vikosi vyote vilivyokuwa pamoja naye vilikuwa vikitetemeka kwa hofu. 8Akangoja kwa siku saba, muda uliowekwa na Samweli; lakini Samweli hakuja Gilgali, nao watu wa Sauli wakaanza kutawanyika. 9Basi akasema, “Nileteeni hapa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani.” Naye Sauli akatoa sadaka ya kuteketezwa. 10Mara alipomaliza kutoa hiyo sadaka, Samweli akatokea, naye Sauli akaondoka kwenda kumlaki. 11Samweli akamuuliza, “Umefanya nini?”
Sauli akajibu, “Nilipoona kwamba watu wanatawanyika, na kwamba hukuja wakati uliopangwa na kwamba Wafilisti walikuwa wakikusanyika huko Mikmashi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.