Native Bible

1 Peter 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuuona utakatifu na uchaji wa Mungu katika maisha yenu.

1 Peter 3:2 in English

1 Peter 3:2 · Berean Standard Bible

when they see your pure and reverent demeanor.

Context

1Kadhalika enyi wake, watiini waume zenu, ili kama kunao wasioamini lile neno, wapate kuvutwa na mwenendo wa wake zao pasipo neno, 2kwa kuuona utakatifu na uchaji wa Mungu katika maisha yenu. 3Kujipamba kwenu kusiwe kwa nje tu, kama vile kusuka nywele, kuvalia vitu vilivyofanyizwa kwa dhahabu na kwa mavazi. 4Badala yake, kujipamba kwenu kuwe katika utu wenu wa moyoni, yaani uzuri usioharibika wa roho ya upole na utulivu, ambayo ni ya thamani sana machoni pa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.