1 Wafalme 9:19
1 Kings 9:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
vilevile miji ya ghala na miji kwa ajili ya magari yake na kwa ajili ya farasi wake: chochote alichotaka kujenga katika Yerusalemu, katika Lebanoni, na katika eneo yote aliyotawala.
1 Kings 9:19 in English
1 Kings 9:19 · Berean Standard Bible
as well as all the store cities that Solomon had for his chariots and horses *—whatever he desired to build in Jerusalem, Lebanon, and throughout the land of his dominion.
Context
17Solomoni akaujenga tena Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini, 18akajenga Baalathi na Tamari kwenye jangwa katika eneo la nchi yake, 19vilevile miji ya ghala na miji kwa ajili ya magari yake na kwa ajili ya farasi wake: chochote alichotaka kujenga katika Yerusalemu, katika Lebanoni, na katika eneo yote aliyotawala. 20Watu wote waliosalia kutoka kwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi (mataifa haya hayakuwa Waisraeli), 21yaani, wazao wao waliobakia katika nchi, ambao Waisraeli hawangeweza kuwaangamiza kabisa: hawa Solomoni akawalazimisha kuwa watumwa katika shokoa, kama ilivyo hadi leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.