Native Bible

1 Kings 6:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neno la Bwana likamjia Solomoni kusema:

1 Kings 6:11 in English

1 Kings 6:11 · Berean Standard Bible

Then the word of the LORD came to Solomon, saying:

Context

9Basi Solomoni akajenga Hekalu na kulikamilisha, akiliweka paa za boriti na mbao za mierezi. 10Mfalme Solomoni akajenga vyumba vya pembeni kuzunguka Hekalu lote. Kimo cha kila kimoja kilikuwa dhiraa tano. Navyo vilikuwa vimeunganishwa na Hekalu kwa boriti za mierezi. 11Neno la Bwana likamjia Solomoni kusema: 12“Kwa habari ya Hekalu hili unalojenga, kama ukifuata amri zangu, ukatunza masharti yangu na kushika maagizo yangu yote na kuyatii, kwa kupitia wewe nitatimiza ahadi niliyomwahidi Daudi baba yako. 13Nami nitakaa miongoni mwa Waisraeli, nami sitawaacha watu wangu Israeli.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.