1 Wafalme 3:10
1 Kings 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akapendezwa kwamba Solomoni ameliomba jambo hili.
1 Kings 3:10 in English
1 Kings 3:10 · Berean Standard Bible
Now it pleased the Lord * that Solomon had made this request.
Context
8Mtumishi wako yuko hapa miongoni mwa watu uliowachagua: taifa kubwa, watu wengi wasioweza kuhesabika wala kutoa idadi yao. 9Hivyo mpe mtumishi wako moyo wa ufahamu ili kutawala watu wako na kupambanua kati ya mema na mabaya. Kwa maana, ni nani awezaye kutawala watu wako hawa walio wengi hivi?” 10Bwana akapendezwa kwamba Solomoni ameliomba jambo hili. 11Basi Mungu akamwambia, “Kwa kuwa umeomba neno hili na hukuomba maisha marefu au upate utajiri kwa nafsi yako, wala adui zako wafe, bali umeomba ufahamu katika kutoa haki, 12nitafanya lile uliloomba. Nitakupa moyo wa hekima na wa ufahamu, kiasi kwamba hajakuwepo mtu mwingine kama wewe, wala kamwe hatakuwepo baada yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.