1 Wafalme 22:1
1 Kings 22:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa miaka mitatu hapakuwa na vita kati ya Aramu na Israeli.
1 Kings 22:1 in English
1 Kings 22:1 · Berean Standard Bible
Then three years passed without war between Aram and Israel.
Context
1Kwa miaka mitatu hapakuwa na vita kati ya Aramu na Israeli. 2Lakini katika mwaka wa tatu Yehoshafati mfalme wa Yuda akashuka kwenda kumwona mfalme wa Israeli. 3Mfalme wa Israeli alikuwa amewaambia maafisa wake, “Je, hamjui Ramoth-Gileadi ni mali yetu na bado hatufanyi chochote kuirudisha kwetu kutoka kwa mfalme wa Aramu?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.