1 Wafalme 21:28
1 Kings 21:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo neno la Bwana lilipomjia Eliya Mtishbi kusema,
1 Kings 21:28 in English
1 Kings 21:28 · Berean Standard Bible
Then the word of the LORD came to Elijah the Tishbite, saying:
Context
26Alitenda kwa uovu sana katika kuabudu sanamu, kama wale Waamori ambao Bwana aliowafukuza mbele ya Israeli.) 27Ahabu aliposikia maneno haya, akararua nguo zake, akavaa nguo za gunia na kufunga. Akalala na kujifunika nguo za gunia na kwenda kwa unyenyekevu. 28Ndipo neno la Bwana lilipomjia Eliya Mtishbi kusema, 29“Umeona jinsi Ahabu alivyojinyenyekeza mbele zangu? Kwa kuwa amejishusha mwenyewe, sitaleta maafa haya wakati akiwa hai, lakini nitayaleta juu ya nyumba yake katika siku za mwanawe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.