1 Wafalme 21:12
1 Kings 21:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.
1 Kings 21:12 in English
1 Kings 21:12 · Berean Standard Bible
They proclaimed a fast and gave Naboth a seat of honor among the people.
Context
10Lakini waketisheni watu wawili wabaya kabisa mkabala naye, nao washuhudie kuwa yeye amemlaani Mungu na mfalme. Kisha mtoeni nje na kumpiga kwa mawe hadi afe.” 11Hivyo wazee na watu wenye cheo walioishi katika mji wa Nabothi wakafanya kama Yezebeli alivyoelekeza katika barua aliyowaandikia. 12Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu. 13Kisha watu wawili wabaya kabisa wakaja wakaketi mkabala naye, nao wakaleta mashtaka dhidi ya Nabothi mbele ya watu, wakisema, “Nabothi amemlaani Mungu na mfalme.” Kwa hiyo wakamtoa nje na kumpiga kwa mawe hadi akafa. 14Kisha wakatuma ujumbe kwa Yezebeli, kusema, “Nabothi amepigwa mawe na amekufa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.