1 Wafalme 2:1
1 Kings 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku zilipokaribia za Daudi kufa, akampa mwanawe Solomoni agizo.
1 Kings 2:1 in English
1 Kings 2:1 · Berean Standard Bible
As the time drew near for David to die, he charged his son Solomon,
Context
1Siku zilipokaribia za Daudi kufa, akampa mwanawe Solomoni agizo. 2Akasema, “Mimi ninakaribia kwenda njia ya dunia yote. Hivyo uwe hodari, jionyeshe kuwa mwanaume, 3shika lile Bwana Mungu wako analokuagiza: Enenda katika njia zake, ushike maagizo na amri zake, sheria zake na kanuni zake, kama ilivyoandikwa katika Sheria ya Mose, ili upate kustawi katika yote ufanyayo na popote uendako,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.