Native Bible

1 Kings 11:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.

1 Kings 11:42 in English

1 Kings 11:42 · Berean Standard Bible

Thus the time that Solomon reigned in Jerusalem over all Israel was forty years.

Context

40Solomoni akajaribu kumuua Yeroboamu, lakini Yeroboamu akakimbilia Misri, kwa Mfalme Shishaki, naye akakaa huko mpaka Solomoni alipofariki. 41Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Solomoni, yote aliyoyafanya na hekima aliyoionyesha, je hayakuandikwa yote katika kitabu cha matendo cha Solomoni? 42Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu. 43Kisha Solomoni akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.