1 Yohana 5:21
1 John 5:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.
1 John 5:21 in English
1 John 5:21 · Berean Standard Bible
Little children, keep yourselves from idols.*
Context
19Sisi twajua kuwa tu watoto wa Mungu na ya kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu. 20Nasi pia twajua ya kwamba Mwana wa Mungu amekuja, naye ametupa sisi ufahamu ili tupate kumjua yeye aliye Kweli. Nasi tumo ndani yake yeye aliye Kweli, yaani, ndani ya Yesu Kristo Mwanawe. Yeye ndiye Mungu wa kweli na uzima wa milele. 21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.