1 Wakorintho 2:5
1 Corinthians 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili imani yenu isiwe imejengwa katika hekima ya wanadamu bali katika nguvu za Mungu.
1 Corinthians 2:5 in English
1 Corinthians 2:5 · Berean Standard Bible
so that your faith would not rest on men’s wisdom, but on God’s power.
Context
3Mimi nilikuja kwenu nikiwa dhaifu na mwenye hofu na kwa kutetemeka sana. 4Kuhubiri kwangu na ujumbe wangu haukuwa kwa hekima na maneno ya ushawishi bali kwa madhihirisho ya nguvu za Roho 5ili imani yenu isiwe imejengwa katika hekima ya wanadamu bali katika nguvu za Mungu. 6Lakini miongoni mwa watu waliokomaa twanena hekima, wala si hekima ya ulimwengu huu au ya watawala wa dunia hii wanaobatilika. 7Sisi tunanena hekima ya Mungu ambayo ni siri, tena iliyofichika, ambayo Mungu aliikusudia kabla ya ulimwengu kuwepo, kwa ajili ya utukufu wetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.