Native Bible

1 Corinthians 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndugu zangu nilipokuja kwenu, sikuja na maneno ya ushawishi wala hekima ya hali ya juu nilipowahubiria siri ya Mungu.

1 Corinthians 2:1 in English

1 Corinthians 2:1 · Berean Standard Bible

When I came to you, brothers, I did not come with eloquence or wisdom as I proclaimed to you the testimony about God.

Context

1Ndugu zangu nilipokuja kwenu, sikuja na maneno ya ushawishi wala hekima ya hali ya juu nilipowahubiria siri ya Mungu. 2Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote wakati nikiwa nanyi isipokuwa Yesu Kristo aliyesulubiwa. 3Mimi nilikuja kwenu nikiwa dhaifu na mwenye hofu na kwa kutetemeka sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.