Native Bible

1 Corinthians 11:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Inampasa mtu ajichunguze mwenyewe, kabla ya kula mkate na kukinywea kikombe.

1 Corinthians 11:28 in English

1 Corinthians 11:28 · Berean Standard Bible

Each one must examine himself before he eats of the bread and drinks of the cup.

Context

26Maana kila mlapo mkate huu na kunywea kikombe hiki, mnatangaza mauti ya Bwana mpaka ajapo. 27Kwa hiyo, mtu yeyote alaye mkate huo au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa na hatia ya dhambi juu ya mwili na damu ya Bwana. 28Inampasa mtu ajichunguze mwenyewe, kabla ya kula mkate na kukinywea kikombe. 29Kwa maana mtu yeyote alaye na kunywa pasipo kuutambua mwili wa Bwana, hula na kunywa hukumu juu yake mwenyewe. 30Hii ndiyo sababu wengi miongoni mwenu ni wagonjwa na dhaifu na wengine wenu hata wamekufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.