1 Wakorintho 1:29
1 Corinthians 1:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili mtu yeyote asijisifu mbele zake.
1 Corinthians 1:29 in English
1 Corinthians 1:29 · Berean Standard Bible
so that no one may boast in His presence.
Context
27Lakini Mungu alivichagua vitu vipumbavu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye hekima, Mungu alivichagua vitu dhaifu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye nguvu. 28Alivichagua vitu vya chini na vinavyodharauliwa vya dunia hii, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko, 29ili mtu yeyote asijisifu mbele zake. 30Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanyika kwetu hekima itokayo kwa Mungu, yaani haki, na utakatifu na ukombozi. 31Hivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.