Native Bible

1 Corinthians 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nashukuru kwamba sikumbatiza mtu yeyote isipokuwa Krispo na Gayo.

1 Corinthians 1:14 in English

1 Corinthians 1:14 · Berean Standard Bible

I thank God that I did not baptize any of you except Crispus and Gaius,

Context

12Maana yangu ni kwamba: Mmoja wenu husema, “Mimi ni wa Paulo”; mwingine, “Mimi ni wa Apolo”; mwingine, “Mimi ni wa Kefa,”* na mwingine, “Mimi ni wa Kristo.” 13Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye alisulubishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo? 14Nashukuru kwamba sikumbatiza mtu yeyote isipokuwa Krispo na Gayo. 15Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu. 16(Naam, niliwabatiza pia watu wa nyumbani mwa Stefana. Lakini zaidi ya hao sijui kama nilimbatiza mtu mwingine yeyote.)

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.