Native Bible

1 Chronicles 12:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita.

1 Chronicles 12:35 in English

1 Chronicles 12:35 · Berean Standard Bible

From Dan: 28,600 prepared for battle.

Context

33Watu wa Zabuloni, askari wenye uzoefu mkubwa walioandaliwa tayari kwa vita wakiwa na silaha za kila aina, ili kumsaidia Daudi kwa uaminifu thabiti, walikuwa 50,000. 34Watu wa Naftali, maafisa 1,000, pamoja na watu 37,000 waliochukua ngao na mikuki. 35Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita. 36Watu wa Asheri, askari 40,000 wenye uzoefu mkubwa waliondaliwa kwa ajili ya vita. 37Na pia watu kutoka mashariki ya Yordani, watu wa Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakiwa na kila aina ya silaha, watu 120,000.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.