1 Nyakati 11:7
1 Chronicles 11:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi akafanya makao yake kwenye ngome, hivyo ukaitwa Mji wa Daudi.
1 Chronicles 11:7 in English
1 Chronicles 11:7 · Berean Standard Bible
So David took up residence in the fortress; that is why it was called the City of David.
Context
5wakamwambia Daudi, “Wewe hutaingia humu.” Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi. 6Daudi alikuwa amesema, “Yeyote aongozaye mashambulizi dhidi ya Wayebusi, atakuwa jemadari mkuu.” Yoabu mwana wa Seruya akawa wa kwanza kukwea, naye akawa mkuu. 7Daudi akafanya makao yake kwenye ngome, hivyo ukaitwa Mji wa Daudi. 8Akajenga mji pande zote, kuanzia kwenye mito hadi kwenye ukuta kuzunguka, wakati huo huo Yoabu akajenga sehemu zingine zilizobaki za Yerusalemu. 9Daudi akazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi, kwa sababu Bwana Mwenye Nguvu Zote alikuwa pamoja naye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.