Native Bible

1 Chronicles 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Wafilisti wakapigana na Israeli. Waisraeli wakawakimbia, na wengi wakauawa katika mlima Gilboa.

1 Chronicles 10:1 in English

1 Chronicles 10:1 · Berean Standard Bible

Now the Philistines fought against Israel, and the men of Israel fled before them, and many fell slain on Mount Gilboa.

Context

1Basi Wafilisti wakapigana na Israeli. Waisraeli wakawakimbia, na wengi wakauawa katika mlima Gilboa. 2Wafilisti wakawafuatia kwa bidii Sauli na wanawe, wakawaua Yonathani, Abinadabu na Malki-Shua. 3Mapigano yakawa makali kumzunguka Sauli na wakati wapiga mishale walipompata, wakamjeruhi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.